Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 28 March 2017

MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI WA NCHI MBALI MBALI IKULU DAR ES SALAAMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho  kutoka  kwa  Balozi wa Hungary nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi Kenya, Laszlo Eduard Mathe Ikulu jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Sidibe Fatoumata Kama,Balozi wa Guinea  nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia  Dar es salaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Lebonaamang Thanda Mokalake,Balozi wa Botswana nchini mwenye makazi yake jijini Lusaka, Zambia, leo  Ikulu jijini Dar es salaam
DIWANI KUNDUCHI AMWAGA MISAADA KWA WANAFUNZI


Diwani wa Kata ya Kunduchi,Michael Urio akikabidhi misaada ya Madaftari ,vitabu vya kusomea na vifa mbali mbali vya shule kwa wanafunzi wa shule mbali mbali zilizopo katika kata ya Kunduchi ikiwa ni mwendelezo wa Utekelezaji wa ahadi alizozitowa kwa wananchi wakati wa uchaguzi .
Akizungumza na Blog hii Urio alisema katika kuhakikisha wanasapoti azma ya serikali ya elimu bure lakini chagamoto nyingi ni pale ambapo kuna watoto ambao wanataka kupata elimu lakini wanakosa mahitaji muhimu kufuatia kupoteza wazazi hali inawawea  vigumu kupata mahitaji muhimu ndomana yeyeye kama mwakilishi wa serikali akaamuwa kujitolea kuwapatia msada huo
Pia diwani huyo alishatowa msaada wa tanki za maji kwa shule za Mtakuja,Ununio,zilizopo katika kata hiyo na kumlipa mwalimu wa somo la Hesabu katika shule ya sekondari ya Mtakuja.


Michael Urio akimuhesabia mwanafunzi daftari zake

Michael Urio akimkabidhi daftari 12 mmoja ya wanafunzi.Picha kwa hisani ya Diwani.