Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday 20 April 2014

MALASUSA AONGOZA IBADA YA PASAKA AZANIA FRONT DAR.


Kiongozi wa kwaya kuu akiwaongoza kuimba mara baada ya ibada ya pasaka.

Askofu Malasusa akiwasalimia watoto mara baada ya ibada ya pasaka

Mama Ritha Mlaki akisalimiana na IGP Ernest Mangu baada ya ibada


Waziri Mkuu Mstaafu Edwad Lowasa akiteta jambo na Askofu

Askofu Malasusa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edwad Lowasa 

Waziri Mkuu Mstaafu Edwad Lowasa akisalimiana na watoto mara daada ya ibada ya pasaka kumalizika

Malasusa akiagana na waumini

Mkurugenzi wa Power Food  Anna Temu akipata mkono wa baraka kutoka kwa Askofu Malasusa baada ya ibada ya Pasaka  

No comments:

Post a Comment