Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014. Kulia ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtwika maji, Bibi Edna petro baada ya kuzindua mradiwa maji wa Mkonze katika Manispaa ya Dodoma ikiwa ni moa ya shughuli za kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014.(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment