RIDHIWANI ASHUHUDIA SHULE ILIVYOBAKI HOI BAADA YA KUEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI CHA KIKWAZU, JIMBONI CHALINZE, AAHIDI KUSAIDIA KUIBORESHA TENA
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,
Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha
Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na
kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu
linalotumika
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,
Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha
Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliyong'olewa paa
na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu
linalotumika.
Shule ya msingi Kikwazu iliyong'olewa paa na kimbunga mwanzoni mwa mwaka
No comments:
Post a Comment