Kamishina wa Madini wa Wizara ya Nishati na Madini, Eng Paul Masanja Akitoa ufafanuzi kuhusu Wavamizi wa Mgodi wa kampuni ya RESOLUTE (T) LTD wa Nzega kwa wandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Msemaji wa Wizara hiyo Badra Masuod na kushoto ni Kaimu Kamishna wa Madini Eng John Nayopa |
No comments:
Post a Comment