Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Saturday 5 April 2014

CIDA NA PLAN INTERNATIONAL KUPITIA MRADI WA THE MNW PROJECT YATOA MSAADA WA VIFAA VYA TIBA KWA AJILI YA MAMA NA WATOTO MKOANI RUKWA


Dokta Neema Mamboleo mshauri wa Mradi wa Wazazi na Mwana akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Kimanta kitanda maalum kwa ajili ya kusaidia watoto wachanga waliozaliwa kabla ya muda kutimia na kuwa na matatizo ikiwa ni sehemu ya vifaa hivyo vilivyotolewa na mradi huo
Afisa Tawala wa Mradi wa Wazazi na Mwana (MNW) Bwana Mashauri Ndebile akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mhe. Iddi Kimanta shehena ya vifaa vya msingi kwa ajili ya kutoa huduma za dharura kwa kina mama wajawazito na watoto wachanga Mkoani Rukwa.

 
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mhe. Iddi Hassan Kimanta kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Ndugu Kimulika Galikunga orodha ya mgao wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya Halmashauri hiyo
Msaada huo ni sehemu ya misaada mbalimbali ya mashirikia hayo Mkoani Rukwa ambapo hivi karibuni walitoa msaada wa "Ambulance" mbili na kujenga vyumba vya upasuaji kwa Halmashauri za Nkasi na Sumbawanga Vijijini.



No comments:

Post a Comment