Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Monday, 28 April 2014

MAONYESHO YA TANZANIA HOME EXPO YAKARIBIA



Mkurugenzi wa Tanzania Home Expo, Zenno Ngowi akizungumza na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Maonyesho bidhaa za majumbani yatakayofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Kulia ni Afisa masoko Oscar Mpejiwa .Picha na kusiniblog


Mkurugenzi wa Tanzania Home Expo, Zenno Ngowi akizungumza na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Maonyesho bidhaa za majumbani yatakayofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Kulia ni Afisa masoko Oscar Mpejiwa na kushoto ni Mathew Gugai Meneja Biashara .Picha na kusiniblog


No comments:

Post a Comment