Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Wednesday, 7 May 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA CHINA JIJINI ABUJA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang kwa mazungumzo pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika  jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014



No comments:

Post a Comment