SAFARI YA TIMU YA KUSINI BLOG MKOANI LINDI NA MTWARA.
Kamanda wa Kusini blog akifanya kazi za nyumbani za kukata kuni
Baadhi ya wachina wakitembea mitaani katika kijiji
cha Mingoyo mkoani lindi wachina hao wanafanya kazi ya kutandaza bomba za
kusafirishia Gesi.Wasiwasi wangu mara baada ya miaka mitano mbele majina ya
wajombazangu yatakuwa hivi.Chipoko Yung Lee,Nchumali Shunshu,Baruti Leong luu.
Wafanyabiashara ya wa mitumba wakisafiri kwa kutumia maloli kuelekea Masasi katika mnada wa Nguo.
No comments:
Post a Comment