Sehemu ya viungo vya binadamu vilivyotupwa katika eneo la Bunju nje ya jiji la Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Kamanda wa jeshi la polisi,Seleman Kova akiongea na vyombo vya habari alisema tukio hilo linawahusisha moja kwa moja Hospitali ya IMTU na tayari wanawashikilia watu 8 kutokana na tukio hilo pamoja na Madaktari na Upelelezi ukikamilika hatua za kisheria zitachukuliwa.
|
No comments:
Post a Comment