Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 6 July 2014

KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA WACHINA

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Shin Up Tanzania Ltd, Andy Wong Wauzaji na wasambazaji wa Mafuta ya Mitambo alipotmbelea bandalao.

Mkurugenzi wa Shin Up Tanzania Ltd, Andy Wong akimuelezea Rais Jakaya Kikwete  bidhaa mbali mbali zinazopatikana katika banda hilo

No comments:

Post a Comment