Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Wednesday 13 August 2014

MSIKITI WA MTAMBANI,KINONDONI WAUNGUA MOTO

Mskiti wa matambani ukiteketea moto usiku Dar es Salaam

Polisi wakimarisha ulinzi katika eneo la msikiti wa Mtambani

Polisi wakimarisha ulinzi katika eneo la msikiti wa Mtambani,uliokua unaungua moto Usiku jijini Dar es salaam

Vijana wakisaidi kuleta maji kwa kutumia ndoo kufuatia gari ya kampuni ya Zimamoto kuhishiwa maji

Vijana wakisaidi kuleta maji kwa kutumia ndoo kufuatia gari ya kampuni ya Zimamoto kuhishiwa maji

Wakazi wa maeneo jirani wakifatilia kwa karibu

No comments:

Post a Comment