Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday 17 August 2014

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUUU

Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki  Feleshi   kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam

Mkuu wa Jeshi la Polisi ,Erenest Mangu akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya uuzaji thamani za ndani na mapambo TGS ,Suleiman Nassor  katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri mkuu Mizengo Pinda na Makamu wa Rasis Dr Ghalib Bilali wakiwa katika picha na Mkurugenzi wa kampuni ya TGS ,Suleiman Nassor  katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam

Wajaji wakiwa katika picha ya Pamoja na Rais Jakaya Kikweye baada ya kuapishwa

No comments:

Post a Comment