![]() |
| Wakazi wa wilaya ya Mjini Magharibi wamekumbwa na mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mjini humo baadhi ya maeneo hayo ni Mpendae kwa Binti Amrani, Tomondo na Mwanakwerekwe, |
![]() |
| Wakazi wa emneo la Tomondo wakitaharuki kwa maji kujaa katika nyumba zao. |




No comments:
Post a Comment