Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday, 17 July 2015

BANZA STONE AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki wa muziki wa dansi aliyepata kushika chati za juu katika utunzi na uimbaji katika bendi mbalimbali nchini za muziki wa Dansi, Ramadhani Masanja 'Banza Stone' amefariki dunia hii leo mchana nyumbani kwao Sinza Kijiweni Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment