Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 12 July 2015

CCM RAIS NI MAGUFULI 2015

Safari ya Magufuli kuelekea Ikulu

Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli leo akiwa na fomu za kugombea urais baada ya kucghukua mjini Dodoma kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi

Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli akisaini fomu

Akizaminiwa na wanachama wa ccm

No comments:

Post a Comment