Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 5 July 2015

KADA WA CCM AJITOSA JIMBO LA MIKUMI

Kada wa CCM Jumaa Hamsini (kulia)akisalimiana na wanachama wa Kijiji cha Kisanga ambako ndiko alikokulia na kupata elimu ya msingi Wilaya ya Mikumi  kuwaomba ridhaa ya kugombea ubunge wa jimbo hilo la Mikumi kupitia ccm huku akichagiza na kauli mbiu inayosema NYUMBANI KWANZA 

Wajumbe wakimkaribisha katika ukumbi wa mkutano Mzawa mzalendo wa jimbo la Mikumi Jumaa Hamsini

Juma Hamsini akimwaga sera kwa wajumbe wa liokuwa walimsikiliza

Jumaa Hamsini akibadilishana mawazo na mzee wa Kilombelo baada ya kumwaga sera.

Jumaa Hamsini akiagana na wanachama wa Kata ya Ruhembe baada ya kuomba ridhaa ya kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo hilo.

No comments:

Post a Comment