Mjumbe wa Bunge la Katiba ambaye pia Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimuakitoa maoni yake leo mjini Dodoma wakati wa Mkutano wa Wabunge wanawake wa Bunge Maalum la Katiba uliondaliwa na Chama cha Waandishi wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya kuwaelimisha masuala mbalimbali ya kuzingatia wakati wa utungaji wa Katiba mpya ikiwemo uzazi salama na kutoa ufafanuzijuu ya umri wa mtoto.
|
No comments:
Post a Comment