Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 23 March 2014

USAID yatoa elimu ya lishe Zanzibar

Mkurugenzi mkazi wa shirika la USAID Tuboreshe Chakula, Bi Rebeca Savoure ,akitoa zawadi ya unga lishe kwa mmoja wa  kina mama,mkazi wa Unguja mjini,katika kampeni za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto miezi 6-miaka 5,lengo likiwa ni kupunguza utapiamlo nchini
Mkuu wa Wilaya mjini Unguja ,Bw Abdul Mahmood Mzee (katikati) akisalimiana na Bw Charles David wa USAID na Bi Rebecca Savoure Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe Chakula katika viwanja vya Karakana Unguja,wakati wa uhamasishaji juu ya umuhimu na faida za Virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6 – miaka 5.

Mkuu wa mkoa Mjini Magharibi Unguja,Bw Abdallah Mwinyi Khamis (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe chakula(kulia) Bi Rebecca Savoure wakati wa uzinduzi wa kampeni za uhamasishaji  virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5,kiwa ni mkakati wa Serikali ya Tanzania,ikishirikiana na USAID Tuboreshe Chakula kupunguza utapiamlo nchini

Wanafunzi wa shule za awali waUnguja walioshiriki katika sherehe hizo

No comments:

Post a Comment