Kampuni ya
simu za mkononi ya tigo kwa kushirikiana
na kampuni ya Hazina Captal zinatarajia
kudhamini soko la kila mwezi kwa wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuleta
biashara zao katika ghulio litakalo kuwepo katika viwanja vya COCO BEACH jijini
Dar es Salam kila mwezi
Akizungumza
na waadishi wa habari meneja mawasiliao wa Tigo Jonh Wanyancha alisema lengo la
tigo kuzamini gulio hilo ni kuwaletea karibu wateja bidhaa ambazo ilikua
inawalazimu kuzifata kariakoo kwa bei ile ile
Nae mwakilishi
wa kampuni ya captal Recho Ndauka wamewasiliana na wafanyabiashara na kuwatoa
hofu kwani kila kitu kipo chini ya uwezo wao na maandalizi tayari pia aliwatoa
hofu wananchi kuusu usalama wao na kwamba ulinzi up wa kutosha
|
No comments:
Post a Comment