Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue aongoza makatibu wakuu kutembelea Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme Kinyerezi
Wakipata Maelekezo
Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jacobsen Elektro, Shaun Moore (kushoto) akiwaelezea jambo makatibu wakuu wa Wizara waliongozana na Katimu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, waliotembelea kukagua ujenzi wa miundombinu ya Umeme Kinyerezi , Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment