Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 6 April 2014

CCM KIDUME CHALINZE, RIZIWANI AVAA VIATU VYA BABA YAKE


Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze yametangazwa Chama cha Mapinduzi CCM kimepata jumla ya kura 20,812,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimepata idadi ya jumla kura 2,828 na chama cha Wananchi CUF kimepata kura 474.
Hivyo chama cha Mapinduzi CCM kimeshinda Kiti cha Ubunge Jimbo la Chalinze

CCM 20812 = %86.5
CHADEMA 2628 = %10.9
 CUF 473 = % 1.9
 AFP 78 = % 0.3
NRA 59 = % 0.2

No comments:

Post a Comment