MBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KUANDALIA HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA KANSA KWA AKINAMAMA
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile
akiwapongeza kinamama wa Kigamboni kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Kituo cha
Afya Kigamboni na kwa ajili ya kupatiwa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa ya
Mlango wa Kizazi inavyoendelea kwenye kituo hicho
AKIONGEA NAO BAADA YA KUWASILI HOSPITALINI HAPO.
AKIWA NA MMOJA YA MTOTO AMBAE MZAZI WAKE ALIKUWAPO KATIKA ZOEZI HILO
No comments:
Post a Comment