Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Chatunukiwa Tuzo ya
The Diamond Eye Award for Quality Commitment and Excellence
Chuo Kikuu Huria Kimetunukiwa tuzo maalumu ya Quality Commitment and Excellence
na Cheti cha Total Quality Management & Aptitude Seal for High Quality Performance &Best Customer Satisfaction kutoka taasisi ya Paris nchini Ufaransa
Tuzo hizo hutolewa na barani ulayakwa nia ya kutambua mchango wa taasisi mbali mbali duniani ambazo zimeonyesha jitiada za kipekee katika kudumisha utoaji wa huduma kipekee
Akizungumza na wandishi wa habari Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria Prf Samweli Wange alisema tuzo hizo zilikabidhiwa wiki iliyopita nchini Ugerumani
No comments:
Post a Comment