JERRY SILAA AGAWA MADAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA ILALA
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika Madawati waliokabidhiwa
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala
Jerry Silaa akifurahi jambo na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus
Mutabuzi, wakati hafla fupi ya kukabidhi madawati 107 kwa shule hiyo. Kushoto
ni Mwenyekiti wa huduma za jamii manispaa ya Ilala, Angelina Nyalembeka
akifuatiwa na Diwani wa Kata ya Pugu, Imelda Samjela.
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Pugu
wakionyesha nyuso za furaha isiyo na kifani walipokabidhiwa madawati 107 na
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa.
No comments:
Post a Comment