Mgambo akiwajibika katika zoezi hilo
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imaanzisha
zoezi la kuondoa Vibanda vya biashara vilivyokuwa vimejengwa katika Masoko na
Barabarani
Zoezi hilo ambalo lilianza juzi usiku katika mitaa
ya Kariakoo kwa kuhusisha vibanda na meza za biashara zilizokiwa zimezunguka
soko hilo na kuleta adhaa kuwa kwa wapita njia .
Wakiongea na Kusiningesi baadhi ya Mashuuda wa tukio
hilo walisema lilihusisha Vibanda
vilivyojengwa mbele ya maduka na katika baadhi ya mitaa ya Kariakoo
Aidha usiku wa kuamkia leo zoezi hilo lilihamia
Maeneo ya Mwenge stendi kwa kweli walioathirika sana na zoezi hilo ni wale
nduguzangu waliokua wakifanya biashara ya Urembo na Kupaka rangi kucha kwa Dada
zetu yaani kwa kifupi hakuna hata banda moja lililosalia blog hii iligundua
kuwa jiji letu hili la Makamba,Kandoro
na Sadik inawezekana kuwa safi hata kama hakuna ugeni mkubwa kitaifa kama ulee
wa Obama.
No comments:
Post a Comment