KABURI LA SHEKH KASIM JUMAA |
KABURI LA SHEKH YAHAYA |
Katika hali ya kushangaza usiku wa kuamkia jana
Mgambo wa jiji waliendelea na zoezi la kusafisha jiji kwa kuondoa vibanda
vilivyojengwa kiholela
Wakiendelea na zoezi hilo katika mitaa mbali
mbali ya jiji juzi ilikuwa ni zamu ya Maeneo ya Upanga ambapo zoezi hilo
lilifika katika maeneo ya Makaburi ya Tambaza na kubomoa Mapaa ya Vibanda vya
Biashara katita eneo hilo na baadhi ya Makabuli ya watu Maarufu likiwemo la
Shekh Yahaya Huseni aliyekuwa mtabiri wa maarufu Afrika Mashariki na Kati
pamoja na Shekh Kasim Jumaa aliyekuwa Imam mkuu wa Msikiti wa Mtoro jijini Dar
ves Salaam
Mtoto wa Sheikh Yahaya Hussein ,Hassan Yahaya
alisema tukio hilo limewashangaza kwa jiji kwenda kuvunja kaburi la baba yao
wakati haliko katika hifadhi ya barabara alisema Hassani kwa Njia ya Simu..
No comments:
Post a Comment