Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 13 April 2014

MAFURIKO DAR


Mama lishe akipeleka chakula kwa wateja wake huku akiwa ndani ya bwawa lamaji katika eneo la Buguruni.

Wafanyabiashara wakiendelea na biashara bila wasi wasi ndani ya madimbwi

Hii ndio mikocheni hali tete ukitaka kujua foleni pita huku.

 
Buguruni hali tete


Jamaa anatafuta Kambare


No comments:

Post a Comment