Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday 27 April 2014

Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani yafanyika Dar es Salaam


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii , DK. Seif  Rashid akimkabidhi cheti kwa kuwa mshiriki wa kupambana na kuzuia Marelia Mshauri wa Afya wa kampuni ya Gb Tanzania, Dk. Jonh Poul Wijinbderd  wakati  wa Maadhimisho ya siku ya marelia Duniani  yaliofayika jijini Dar es Salaaam hivi karibuni. Katikati ni Balozi wa Marelia nchini Leodger  Tenga.Picha zootena Kusiniblog  

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii ,DK. Seif  Rashid akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Kampuni ya SD African LTD, Phillip N Sawe   wakati  wa Maadhimisho ya siku ya marelia Duniani  yaliofayika jijini Dar es Salaaam hivi karibuni.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii ,DK. Seif  Rashid akimkabidhi cheti kwa kuwa mshiriki wa kupambana na kuzuia Marelia Mwakilishi wa kampuni ya RTI International wakati  wa Maadhimisho ya siku ya marelia Duniani  yaliofayika jijini Dar es Salaaam hivi karibuni. Katikati ni Balozi wa Marelia nchini Leodger  Tenga.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii ,DK. Seif  Rashid akimkabidhi cheti kwa kuwa mshiriki wa kupambana na kuzuia Marelia Mwakilishi wa MSD

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii ,DK. Seif  Rashid akimkabidhi cheti kwa kuwa mshiriki wa kupambana na kuzuia Marelia mwakilishi wa kampuni ya Azam

No comments:

Post a Comment