Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday 27 April 2014

CCM YAMSIMIKA MLEZI WA VIJANA KATA YA KAWE


Wanachama wakizunguka mitaani kuhamasisha watu


Wanachama na vijana wa ccm wakielekea kuzindua tawi kabla ya mkutano


Kijana wa ccm akionyesha umahili wa kuzunguka na pikipiki kabla ya uzinduzi wa tawi la Mnarani


Kamandawa Vijanawa UVCCM akitoamchango wa laki 2 kwa Katibu wa tawi la Mnarani Mlangala Zacharia kwa ajili ya mradi ya mandeleo ya Tawi hilo


Mwenyekiti wa uvccm Taifa Sadifa Hamis akisoma risala baada ya kuzindua tawi la kawe Mnarani wengine ni Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kawe, Lilian Mkotani na Katibu wake Aisha Katundu


Said Herry akimuongoza  Mwenyekiti wa uvccm Taifa Sadifa Hamis , Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kawe Lilian Mkotani naKatibu wake Aisha Katundu kuingia uwanjani


Dada Jenn Komba , Aisha Katundu na Hadija kopa wakibadilishana mawazo

A
Mlezi wa Vijana Coleman Vicent Massawe akimkabidhi mwakilishi wa Timu ya Ukwamani Alli Kidogodogo msaada wa jezi wengine ni wadau na wanachama wa ccm

Mlezi wa Vijana Coleman Vicent Massawe akiwa na vifaa vya jadi mara baada ya kusimikwa kuwa mlezi wa Uvccm kata ya kawe.


Mlezi wa Vijana Coleman Vicent Massawe akipewa husia namna ya kufanya kazi za chama na Katibu wa Chama wa Kinondoni Athumani Shesha.


Wadau mbali mbali wakipoz kwa picha na  Coleman Vicent Massawe

No comments:

Post a Comment