![]() |
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mwasisi namba moja
akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar uliopelekea kuudwa kwa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzani
|
![]() |
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Abeid Aman
Karume waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakisaini makubaliano ya kuundwa kwa taifa
moja la Tanzania
|
![]() |
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Abeid Aman
Karume wakiondoka katika ukumbi baada ya kusaini hati ya muungano 1964
|
![]() |
Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere Mwasisi na Abeid Aman Karume Mwasisi wakibadilishana Nyaraka baada ya
kusaini
|




No comments:
Post a Comment