Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Wednesday, 9 April 2014

Prof.Penin Mlama Kuwa mwenyekiti mpya wa kigoda cha Mwalimu Nyerere baada ya Shivji

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Prof RwekazaMukandala akimsimika Prof PeninaMlama kuwa mwenyekiti mpya wa kigoda cha Mwalimu Nyerere wakati wa Kongamano lililofanyikajijini Dar es Salaam jana.Kushotoni Prof MakenyaMaboko.

Prf Issa Shivji na Jaji Warioba Uso kwa uso katika kongamano la Kigoda cha MwalimuNyererejijini Dar es Salaam

Kutoka kushoto Jaji Warioba Mama Maria Nyerere,  Prf Penina Makamu Makamu Mkuu wa chuoKikuu  Prof Rwekaza Mukandala wakiangalia machapisho

Jaji Warioba akimwangalia Prf Shivji akimsalimia Mama Maria Nyerere . 

Baadhi ya Wanafunzi wakifatilia Mada.

Bi dada akimsalimia  Mama Maria Nyerere 


No comments:

Post a Comment