Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea
nchini Mhe. Chung IL wakikata utepe
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la
ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa
ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila
maeneo ya Kwembe, Kilometa 24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe
la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini leo
April 24, 2014.
|
No comments:
Post a Comment