Warembo wa tigo nao walikuwepo
Kampuni ya simu za mkononi Tigo imeingia mkataba wa
kuwapa huduma za Face book watumiaji wa mtandao huo kwa lungha ya Kiswahili
buree bila gharama yeyote.
Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa huduma hiyo Mkurugenzi
Mkuu wa Tigo,Diego Gutierrez alisema huduma hiyo itawawezesha watumiaji wa
mtandao wa tigo kwa ukanda wa Africa Mashariki na Kati kupata huduma hiyo bila
kulipia gharama yoyote.
Hii ni mara ya kwanza kwa kwa mitandao ya simu kutoa
chuduma hiyo bila gharama yoyote na kuongeza kuwa itawawezesha wateja
kuwasiliana katika mtandao huo alisema. by kusinigesiblog
|
No comments:
Post a Comment