Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Thursday 17 April 2014

TIGO YASAIDIA WATHIRIKA WA MAFURIKO DAR

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu nchini, Bertha Mlay (kushoto) akipokea mfano wa Hundi ya shilingi milion 20 kutoka kwa Meneja wa tigo Woinde Shisael kwa ajili ya  waathirika wa mafuliko yaliyotokea jijini Dar es Salaam 

Meneja wa tigo Woinde Shisael akimkabidhi vyakula ikiwa ni sehemu ya msada huo 


Wafanyakazi wa Tigo na wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu wakipooz kwa picha

Wafanyakazi wa tigo nao wakipooz

Sehemu ya vyakula

No comments:

Post a Comment