Mkurugenzi wa Manispaa ya
Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda (kushoto) akimsikiliza kwa makini Meneja wa duka
jipya la Tigo lilipo Lindi Mjini Bw. Ahadi Mtweve (katikati) wakati wa ufunguzi
wa duka jipya la Tigo. Duka hilo
linalopatikana mtaa wa Makongoro nyuma ya stendi kuu ni duka la 41 la Tigo nchi
nzima.
Meneja wa duka jipya la
Tigo lililopo Lindi Mjini Bw. Ahadi Mtweve (katikati) akimuelezea Mkurugenzi wa
Manispaa ya Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda kuhusu huduma ya Tigo Pesa
inayopatikana kwenye duka hilo mpya liliozinduliwa juzi na Mkurugenzi huyo. Kushoto
ni mtoa huduma wa Tigo Pesa katika duka hilo Bi. Nasra Mbise. Duka hilo
linalopatikana mtaa wa Makongoro nyuma ya stendi kuu ni duka la 41 la Tigo nchi
nzima.
No comments:
Post a Comment