Mkuu wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Prof. Costantine Lifuliro
(kulia), akifungua kongamano la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa
mikoa yenye ukame, iliyoandaliwa na taasisi ya CHOLOLOECOVILAGE jijini Dar es
Salaam jana. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Aldof Mkenda na mwakilishi
kutoka Ubalozi wa Jumuia ya Ulaya. Picha
na Said Khamis |
No comments:
Post a Comment