MAADHIMISHO SIKU YA WAUGUZI DUNIANI YAFANYIKA LEO VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
Muuguzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam,Salama Masanja
akimchoma sindano ya chanjo mtoto wa miezi 2, Boniface Valentine wakati wa madhimisho
ya Siku ya Wauguzi Duniani, iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam
Mdau wa blog hii kutoka banda la T MARK wauzaji wa Dume condom na Red
Pepeta naye alikuwepo
No comments:
Post a Comment