Meya wa Ilala na Mjumbe wa NEC ,Jerry Slaa hakizungumza na wakazi wa kawe
baada ya kufungua tawi la wakereketwa la washashi kawe ukwamani
|
Jerry Slaa akisalimiana na mjumbe wa ccm kawe Halid
|
Jerry Slaa akisindikizwa na Viongozi wandamizi wa ccm kawe kuelekea katika viwanja vya soko la zamani kulia ni Machage na kushoto ni Said Herry na Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kawe Lilian Mkotani |
Mlaponi akiwachana Ukawa kwa kitendo cha Kususia Bunge ni kama mke aliyetoroka ndani ya nyumba. |
Katibu wa vijana wa ccm Kawe Aisha Katundu akiwataka vijana kutopepesa macho mwakani |
Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kawe Lilian Mkotani akiwataka wananchi kulirudisha jimbo walilimuazima mbunge wa Chadema mwakani
|
Jerry Slaa akimsimika Joe Anea Joseph kuwa kamanda wa Vijana tawi la Kawe Kilimahewa |
Katibu wa vijana wa ccm Kawe Aisha Katundu kulia akijiandaa kumvisha skafu kamanda baada ya kusimikwa. |
No comments:
Post a Comment