Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 1 June 2014

MAK BOOK YAZINDUA DUKA KUBWA LA VITABU MLIMANI CTY


Word Bank Country Director, Philippe Doncier na Mkurugenzi Mtendaji wa  Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa Duka kubwa la vitabu katika eneo la Mliman cty jijini Dar es Salaam


Mkurugenzi Mtendaji wa  Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan, akizungumza na wateja mara baada ya uzinduzi wa duka hilo la vitabu vya shukle ya msingi hadi elimu yajuu  lililopo Mlimancty jijini Dar es Salaam

Afisa Masoko wa Duka la Vitabu la MAK Mwanjiti Ramadhani,akimsaidia kuchagua kitabu mmoja ya watoto waliofika dukani hapo wakati wa uzinduzi wa Duka hilo mlimani cty jijini Dar es Salaam

Word Bank Country Director, Philippe Doncier na akimkabidhi zawadi  Mkurugenzi Mtendaji wa  Duka la Vitabu la Masumini  wakati wa uzinduzi wa Duka kubwa la vitabu katika eneo la Mliman cty jijini Dar es Salaam jana



No comments:

Post a Comment