Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Tuesday, 22 July 2014

BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YAFUTURISHA WATEJA WAKE

Mkuu wa wilaya ya Ilala ,Riymond Mushi akiwasili katika  katika eneo la Hoteli ya Serena wakati futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar .


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya PBZ ,Mzee Mwinyi Jumbe (kulia)na Naibu Gavana wa Benki kuu Juma Reli wakiwaongoza wateja  wa benki ya zanzibar kuchukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki hiyo jijini Dar es Salaam .


Kaimu Mkurugenzi wa  Benki ya PBZ ,Said M Said akiwaongoza wateja na wafanyakazi  wa benki ya zanzibar kuchukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki hiyo jijini Dar es Salaam

Meza kuu wakiomba dua wakati wa kuhitimisha shughuli hiyo.

No comments:

Post a Comment