Profesa Abdul Shariff (kushoto), akizungumza
katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam , kuhusu maandamano ya
kupinga vita inayoendelea dhidi ya Wapalestina yatakayofanyika kesho kuanzia
Ilala Boma hadi Kigogo jirani na Kituo Kidogo cha Polisi. Maandamano hayo
yameandaliwa na Tasisi ya Kiislamu ya Hawzat-Imam-Swadiq (AS). Kulia ni Sheikh
Hemed Jalala.
|
No comments:
Post a Comment