Mwenyekiti wa Kituo cha msaada wa Kisheria kwa wanawake, Aisha Bade,(katikati) akizungumza na wahandishi wakati wa uzinduzi wa huduma za msaada wa kisheria kwa njia ya simu Dar es Salaam jana.Kituo hicho kwa sasa kitakuwa kikitowa huduma kwa njia ya simu ambapo mtu ataweza kupiga simu na kusaidiwa bila ya kufika katika kituo hicho.
|
No comments:
Post a Comment