Lundo la uchafu likiwa limeachwa bila ya kuondolewa na wausika zaidi ya wiki na kusababisha harufu mbaya . |
Wauzaji wa Mabogawakisubiri wateja katika soko la Buguruni jijini Dar es Salaam.Maboga yamekuwa yakitumika kwa futari kwa kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. |
Muhogo ukiingia soko la Buguruni licha ya soko hilo kukithiri kwa uchafu. |
No comments:
Post a Comment