Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 13 July 2014

MADUKA YA SIMU YAUNGUA NA MOTO KARIAKOO

Wakazi Wajiji wakiangalia  maduka  ya simu yalioungua moto uliotokea usiku wa kuamkia jana uliosababishwa na hitilafu ya Umeme  katika mtaa wa Agrey na Likoma Dar es Salaam 

Wakazi Wajiji wakiangalia  maduka  ya simu yalioungua moto uliotokea usiku wa kuamkia jana uliosababishwa na hitilafu ya Umeme  katika mtaa wa Agrey na Likoma Dar es Salaam 

Mmoja ya wamiliki wa maduka hayo  akionyesha mabaki baada ya kuungua kwa moto maduka ya simu yalioko  mtaa wa Agrey na Likoma Dar es Salaam 

No comments:

Post a Comment