Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday, 13 July 2014

MBUNGE WA TEMEKE ABBASS MTEMVU AMWAGA MISAADA YA VYAKULA .

Mbunge wa Temeke Abbass Mtemvu akimkabidhi  ndoo ya mafuta ya kula Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada

 Said Seif wa Kikundi cha Bajaji Disabled akipokea msaada

Jasmin John kutoka kundi maalum la Kinamama wenye ulemavu akikabidhiwa msaada

No comments:

Post a Comment