MEYA WA ILALA ,JERY SLAA ATEMBELEA SOKO LA KARIAKOO
Muonekano wa soko la Kariakoo enzi hizo mwaka 2005
Meya wa Ilala, Jery Slaa akimsikiliza mfanyabiashara wa viungo wa Soko
dogo la Kariakoo, Ramadhani Mtengule
wakati alipofanya dhiara ya kusikiliza kero mbali mbali mbaina ya
wafanyabiashara hao na Wamachiga jijini Dar es Salaam
Meya wa Ilala, Jery Slaa akimsikiliza mfanyabiashara wa Dagaa wa Soko
dogo la Kariakoo,Rajabu Mgambo wakati alipofanya dhiara ya kusikiliza kero mbali mbali mbaina ya
wafanyabiashara hao na Wamachiga jijini Dar es Salaam
Mgambo wa jiji wakimnusuru mfanyabiashara aliyevamia katika ziara hiyo na kuanza kuwadhiaki wamachinga wanaopaga bidhaa zao chini eneo la Soko dogo
No comments:
Post a Comment