Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Wednesday, 16 July 2014

STAR TIME YAZINDUA CHANELI MPYA YA KISWAHILI

Meneja Mauzo wa kampuni ya Star time,David Kisaka akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa Uzinduzi wa Chaneli za Kiswahili ndani ya kingambuzi chao jijini Dar es Salaam

Kampuni inayojishugulisha na uuzaji na usambazaji wa huduma za kidigitali Star Time leo imezindua huduma mpya ya chaneli za ziada za ambazo zinawaongezea wateja wao uwezo wa kuchagua wakipindacho.
Chaneli hizo ni STAR SPORT 2 itakayoweza kupatikana katioka kifurushi cha uhuru kwenye dikoda inayotumia antena .Ndani ya chaneli hii utaweza kuona michezo Mpira wa miguu ,Golf,Tenis,Snoocker, na Mingine mingi
Chanel ya STAR SWAHILI itakuwezesha kupata vipindi katika maudhui ya kiswahili na baadhi ya vipindi Sinema,Tamthilia,Maigizo,Mapishi ,Katuni na vipindi vya Maisha .




 

No comments:

Post a Comment