Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Sunday 3 August 2014

SIMBA WAWAFUTA UWANACHAMA WAMBURA NA WAFUASI WAKE

Mwenyekiti wa Simba Evas Aveva akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa  simba wa mwaka uliofanyika Dar es Salaam jana,Wengine ni Makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Godfrey Kaburu(katikati) na Mwanasheria mkuu wa timu hiyo Damas Ngumbalo.



Baadhi ya wanachama wa Simba wakifurahia baada ya kupitishwa kipengere cha kufutwa uanachama Mwanachama wa Simba atakayepeleka mahakamani masuala ya mpira.Hivyo Wambura na wapambe wake wamefutiwa uanachamsa rasmi.

Wanachama wakiondoka ukumbini baada ya kumaliza kazi iliyowapeleka.

No comments:

Post a Comment