Kwa habari zaidi kuhusu ORBIT tembelea tovuti ya: www.orbit-tz.com
KWA MAONI AU USHAURI TUTUMIE KWENYE E-mail: kusinileo@gmail.com

Friday 1 August 2014

STAR TIME YANZINDUA CHANELI YA KISWAHILI



 Mkurugezi wa Star time,Jack Zhou akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa chaneli ya tamthilia ya Kiswahili jijini Dar es Salaam

Kutoka kulia Balozi wa China nchini Liu Dong ,Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji (TBC),Clement Mshana na Mkurugezi wa Star time,Jack Zhou wakipigamakofi baada ya kuzindua rasmi chaneli ya tamthilia ya Kiswahili jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wafanyakazi wakifatilia uzinduzi huo

No comments:

Post a Comment